Mkurugenzi wa kituo cha
mafunzo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCCS), Prof. Pius Yanda akifungua semina ya kikanda
ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi inayoshirikisha
wajumbe kutoka maeneo kame inayofanyika mjini Singida.
Mhadhiri
na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Emma Liwenga akitoa mada kuhusu
maenedelo ya mradi wa mazingira kwenye maeneo kame unaonedeshwa na kituo cha mabadiliko ya
tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wadau wa mazingira wakifutilia
mada zianazotolewa.
Mtaalam
wa mabadiliko ya tabianchi Bw. Edmund Mabhuye kutoka CCCS akitoa mada kuhusu
tafiti zilizofanywa na viashiria vya mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania.
Picha
ya pamoja ya washiriki wa semina hiyo. Picha na Obeid Mwangasa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...