Mchungaji Dickson Kiwori akifurahia na mkewe baada ya kubarikiwa rasmi kuwa mchungaji katika Ibada iliyofanyika Jumamosi katika Kanisa LA KKKT usharika wa Sonu Masama katika Ibadan iliyoongozwa na Askofu Dkt.Martin Shao
Mke Wa Mchungaji mpya Dickson Kiwori Hilder Akimlisha mumewe kipande cha ndafu wakati Wa Sherehe ya kumpongeza iliyofanyika Huko Usharika Wa Sufi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro
Mchungaji mpya Dickson Kiwori akipongezwa wakati Wa Sherehe ya kumpongeza iliyofanyika Huko Usharika Wa Sufi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro
Ndafu wa sherehe
Mchungaji mpya Dickson Kiwori akishukuru wakati Wa Sherehe ya kumpongeza iliyofanyika Huko Usharika Wa Sufi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...