Mkazi wa jijini Dar akikatisha kando ya shimo la chemba lililopo katika barabara ya Umoja wa Mataifa,Upanda jijini Dar es salaam.Mifuniko mingi ya chemba hizi imekuwa ikipotea siku hadi siku na haifahamiki ni kwanini imekuwa ikipotea kwa kasi kubwa namna hiyo.!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...