Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea kwenye Sherehe za
Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini
Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo
Hilo alifanya Aliongoza Harambee Nas Jumla ya Shilingi Millioni 5.8
Zilichangwa Ambapo Yeye Alichangia Jumla ya Shilingi Milioni 4.5
Uchakavu
wa Madarasa ya Shule ya Msingi Misufini iliyotimiza Miaka 4O Tangu
Kuanzishwa kwake Ikiwa Katika Hali mbaya sana ya Uchakavu ya Miuondo
Mbinu ya Shule Hiyo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Misufini Wakiwa katika Gwaride Maalum la Kumpokea Mh
Mbunge ambaye alikuwa Mgeni Rasmi Kwenye Maadhimisho ya Miaka 4o ya
Shule hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...