Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akipokea maandamano ya watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi
Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi
kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar
yalifanyika mjini Chakechake Kisiwani Pemba
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akiwapungia mkono watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwa njia ya maandamano kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba
Wanafunzi kutoka Tumbe Mkoa wa Kaskazini Pemba
wakitumbuiza mshindo wa dufu kwenye maadhimisho ya siku ya watuwenye ulemavu duniani
ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba.
Afisa tawala mkoa wa kasakazini Pemba Khamis Salim
Mohamed akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya watuwenye ulemavu dunia ambapo
kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake Pemba.
Waziri wa Biashara, Viwanda na masoko Zanzibar Mhe:
Nassor Ahmed Mazurui akizungumza na wananchi mbalimbali waliohudhuria kwenye maadhimisho
ya siku ya watu wenye duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibara yaliofanyika kisiwani
Pemba Picha zote na Haji Nassor, Pemba
Easy n simple even red carpet tells
ReplyDelete