Ndugu zangu,
Kutokana na sababu za kiufundi zikiwamo za marekebisho muhimu, blogu yako ya kijamii, Mjengwablog.com haiko hewani kuanzia jana jioni.
Wataalam wanalishughuIikia swala hilo na Mjengwablog itarudi tena hewani kabla ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
Hata hivyo, KwanzaJamii Radio iko hewani kama kawaida, sikiliza live...http://www.ustream.tv/ channel/kwanzajamii-radio
Poleni kwa usumbufu.
Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji
IkoloMedia
Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...