Familia ya Marehemu Mzee Gwerino Kibassa  inasikitika kutangaza kifo cha Dk Julius Kibassa wa Hindu Mandal kilichotokea juzi usiku(Ijumaa Nov 28) nyumbani kwake Upanga Dar es salaam. 

Mazishi yanatarajiwa kufanyika  kijijini kwake Nyabula,Mkoani Iringa siku ya Jumanne tarehe 2 Disemba.  Habari ziwafikia ukoo wa akina Kibassa wote, ukoo wa akina Kihalalwa wote, ukoo wa akina Odunga wote, ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...