Katika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”.
Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli.
Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo: BOFYA HAPA
With all due respect, tangu tarehe 8 Disemba mulikuwa wapi hata ndiyo munajibu leo?
ReplyDeleteUkweli ni kwamba uchapakazi wa Waziri Muhingo ni kikwazo kikubwa kwa wenzetu wachache ambao wamekuwa wakizawadiwa rasilimali za taifa kiujanjaujanja kwa kigezo cha uzawa. Iweje mtu mmoja apewe vitalu vya madini, vitalu vya kuwindia, nk. Ni vigezo gani vinatumika kumyima Matonya na kumpa tajiri mzawa? Isitoshe, tajiri akimilikishwa nae huvilangua kwa Wageni na kujipatia mabililioni. Tunataka Waziri Muhongo ahakikishe makosa kama hayo yaliyofanywa huko siku za nyuma hayarudiwi kwenye vitalu vya gesi. Hatutaki rasilimali zetu zikabidhiwe kwa wachache kiujanjajanja.
ReplyDeleteWaziri chapakazi mimi binafsi ninaimani kubwa sana na utendaji wake.
Hiyo taarifa imetoka kitambo gazeti la TAZAMA hii wana blog wameamua tu kuitoa. We sio msomaji nini!!!
ReplyDeleteWaziri Muhongo ni waziri wa kihistoria Wizara ya Nishati na Madini. Alitangaza bungeni kushusha bei ya kuunganisha umeme na kweli bei ilishuka; alitangaza bungeni kuwa wapo Watanzania wachache wanamiliki mamia (hundreds) za vitalu vya madini na kuwa atawafutia kwa mujibu wa sheria, amefanya. Tajiri mmoja alikuwa wanamiliki vitalu 150...Waziri amevifuta na kuwapa leseni wachimbaji wadogo.
ReplyDelete