Afisa
habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Ali Changwila akimkabidhi Peter
Benard gunia la mchele kwaniaba ya wenzake wakati walipokwenda kutoa
msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo mafuta ya kupikia na madaftari kwa
watoto wanaolelewa katika kituo cha kuleta yatima cha New Hope Family
chenye watoto 36. Kilichopo mwasonga kigamboni jijini kata ya kisarawe 2
,Temeke jijini Dar es Salaam.
Mshauri
wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha
New Hope family Maiko Lugendo ,( kulia) akimuonyesha Afisa habari wa
Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati
walipokwenda kutoa msaada wa vitumbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili
ya kusherehekea mwaka mpya kwenye kituo hicho kilichopo Mwasonga
Kata ya Kisarawe 2 Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Hellen
Erasto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...