Mkuu wa Wilaya ya
Mtwara, Ndg, Wilman Ndile akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi
kutoka kwa Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPDC, Bi. Venosa Ngowi wakati wa hafla
ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa Wilaya. TPDC imechangia
ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Mtwara vijijini.
Home
Unlabelled
TPDC yachangia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Mtwara vijijini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...