Pichani juu ni sehemu ya kipande cha barabara ya lami ambacho tayari kimekwisha kamilika,kama kilivyonaswa na Globu ya Jamii wakati ikivinjari katika barabara hiyo jana na kujionea ujenzi huo ukienda kwa kasi,barabara hiyo ambayo imeonekana kuwa na umuhimu mkubwa katika jitihada za kupambana na msongamano wa magari ambao umekuwa kero kubwa kwa wakazi wa jiji la Dar na kwingineko.Barabara hiyo almaarufu kwa jina la barabara ya chuo kikuu ambayo pia unaweza kwenda Goba ama kuchepuka na kutokea Mbezi ya kimara na kuendelea na safari yako,kwa sasa aghalabu inapitika kwa kiasi kikubwa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Na bado kuna wanaoibeza Serikali ya CCM? Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

    ReplyDelete
  2. Ardhi-Makongo-Goba kulikoni? Tuliambiwa toka mwaka juzi iko katika plan kuwekwa lami.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...