Ankal akiwa na wapiganaji Dotto (shoto) na Kulwa Mwaibale wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu mama yao Mzazi hospitali ya Temeke jana. Habari zinasema wafiwa na mwili wa marehemu wamefika salama Mwankenja wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambako mazishi yanatarajiwa kufanyika leo
![]() |
Wafiwa Dotto na Kulwa Mwaibale wakifarijiwa na wapiganaji wenzao kutoka kushoto Richard Mwaikenda, Eric Shigongo, Ankal, Benny Kisaka na Abdallah Mrisho |
waombolezaji msibani huko Mwankenja, Mbeya
Kaburi likiandaliwa
Wapiganaji Dotto na Kulwa wakiwa na wapiganaji wa Mbeya Yetu msibani Mbeya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...