Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi, Manase Temaeli, dereva wa gari la Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya safari zake kati ya miji ya Moshi na Arusha .
Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi ,Rumisha  Minja dereva  wa gari la Mtei lenye namba za usajili, T 882 CDU linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar  es Salaam.
Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia)  akipima kiwango cha kilevi kwa Zakayo Chambo ,dereva wa gari la Kapricon Singida lenye namba  T 134 BSU linnalofanya safari yake kati ya miji ya Singida na Moshi zoezi lililoratibiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom zoezi lililoratibiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.
Asakari wa Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania tawi la Arusha wakati wa zoezi la kupima kiwango cha Kilevi kwa madereva wa mabasi yanayofanya safari katika ya mikoa ya kaskazini zoezi lililoratibiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.
Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii Kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...