WASHIRIKI ambao ni waalimu wa vyuo mbali mbali kisiwani Pemba, kikiwemo chuo cha amali Vitongoji Chakechake, wakimsikiliza Afisa wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othuma Zaidi Othaman wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu hao, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia ya kisasa
 
 MRATIBU wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Pemba mwalimu Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na utungaji mitihani kitaalamu
 
 AFISA Mdhamini wizara ya elimu Pemba Salim Kitwana Sururu akizungumza kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chake chake ambapo, ziliandaliwa na skuli ya maandalizi ya Star ya Kichungwani Chakechake. Picha na Haji Nassor, Pemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...