Wadau wakipozi  Hassan  Kindole (kulia) na Emmanuel Gasper    baada ya kula nondozzzz zao katika mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro Ijumaa. Wadau wamelamba nomndozzz za  shahada ya menejimenti ya Rasilimali witu (Bachelor of Human Resource Management) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bongo kwa mapya kila uchao....haya hii shahada ya rasilimali witu nayo imeanza lini???na ni Mzumbe pekee ndio yapatikana au na vyuo vingine???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...