Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. All the best mrembo wetu tunakutakia heri na mafanikio.

    ReplyDelete
  2. Mtanzania, kumbuka kuwa, kura yako ni muhimu sana kumsaidia mwakilishi wetu wa Miss World Tanzania kuwa mshindi. Ni furaha ya Taifa zima la Tanzania, ni tangazo kubwa juu ya umoja wetu wa Tanzania, kuishi kwetu bila vita wakati makabila lukuki, ushangaza wengi sana. Tuendelee kupiga kura saa chache zilizobaki. KURA YAKO WEWE, NI MUHIMU SANA. Pia niwashukuru sana wanafunzi wangu na wanangu, marafiki, ndugu, jamaa na marafiki kwa support yenu kubwa SANA. Big up sana wanangu wa Tanzania, The Oysterbay Alliance na wale wa UK, USA, Germany, Canada, India, Mongolia, China, Ethiopia, bahati mbaya sikuwapata marafiki wa North Korea, lakini Pakistan pia wamo in short all friends of Happiness we met in Tianjin, I have been notified of your support. KUBWA SANA SUPPORT, NI YA WENYEWE, MZAA CHEMA TAANZAAANIAANS.

    ReplyDelete
  3. Una maneno sana wewe Michuzi. Wa tatu kutoka kushoto ni mwanamke lakini umemwita baba yake na watatu kutoka kulia ni mwanamme lakini umemwita mama yake!! Kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...