Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji
Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara hizo mbili wakati wa
mkutano wao wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...