Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi akiendelea na mikutano ya kampeni katika kijiji cha Kisangesangeni kata ya Kahe akiwanadi wagombea wa nafasi za Uenyekiti. |
Msafara wa Pikipiki ukiongoza kuelekea kijiji cha Ngaseni kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya chama cha NCCR-Mageuzi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Ivi huko vunjo kuna idadi gani ya watu maana mikutano yote uhudhuriwa na watu wachache sana.... yanipa taabu kidogo kupata jibu la haraka haraka....hali hii yaonesha aidha watu wamekata tamaa na hawana tena matumaini na yeyote au wamechagua kuachana na siasa na kujikita ktk kilimo......
ReplyDelete