Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha miaka 20 toka kuanzishwa kwake,huko Monduli Mlimani, leo jumamosi 24 January.
Mke wa mbunge wa Monduli mama Regina Lowassa akipanda mti wa kumbukumbu ya miaka 20 tokea kuanzishwa kwa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai wilayani Monduli leo jumamosi January 24.Anayeshuhudia ni mumewe Mh Edward Lowassa na mbunge wa Viti maalum(ccm) mkoa wa Arusha Mhe Namelok Sokoine.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...