Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye
uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo
mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97.
Home
Unlabelled
ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Na bado ukiacha hiyo 97% tutaacha 0.5% tu ifikapo mwezi Novemba mwaka huu ktk Uchaguzi Mkuu CCM itaweka kibindoni 99.55% ya Kura zote!!!.
ReplyDelete