Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Si kama ndio mkwara kihivyo, nadhani ni 'sanction' zake alizojiwekea katika biashara yake, maana na sisi wateja nao sometimes tuna ila, hapo utakwenda huna manunuzi wala nini, utalibonyeza bonyeza weee! huku ukilia na hali upunguziwe wakati 'fixed' price hiyo hapo, at the end of the day huna manunuwaji yeyote barka ya kulihorojesha dodo la watu na kumtia hasara ya bure mwenye biashara yake, unayo hiyo elfu nunuwa, la kama huna basi yapitie mbali madodo ya watu.

    ReplyDelete
  2. Huyo mtu anauza maneno au anauza embe. Ajue kwamba biashara ni maelewano na mteja ni mfalme.

    ReplyDelete
  3. Perfect customer service

    ReplyDelete
  4. Hajakosea kitu, he is just being honest

    ReplyDelete
  5. Mdau wa MaguJanuary 08, 2015

    tunahitaji EAC pana zaidi. haya makeke ya hiviyataisha. Kuwe na genge la mtusi, mjaluo, mpemba, mganda. tutanyooshana. hali ilivyo sasa hivi mteja ni fala.

    ReplyDelete
  6. He knows business and serious!
    Customer care he knows also that's he calls you BOSS!
    WHAT else do you need?
    Language self explanatory. You like buying go ahead you don't have cash just pass!

    I VERY MUCH LIKE THIS!

    ReplyDelete
  7. asaidiwe elimu ya biashara ya kiushindani,kama atasikia semina za ufanyaji wa biashara naomba ahudhurie,ili ajue namna ya kukamata wateja,awaangalie kina masawe,kimaro,mama manka wanavyo mbembeleza mteja kwa majina mazuri ... ''mamangu,babangu nk.hii yote ni kuhakikisha mteja najisikia kudhaminiwa na kupendwa ,hata kama hakuwa na mpango wa kununua anaamua anunue.Hata kama pesa imepungua utasikia unaulizwa..''babangu wewe umepungukiwa ngapi''

    ReplyDelete
  8. jamaa inaijua biasha vizuri hakuna ta mteja mfalme unapewaa za ukweli za usoo usije ukabonyeza bonyeza embe za watu na kuzifanya zirojeke halafu huzinunui na kumtia hasara.

    hata majuu hakuna kubembeleza bembeleza unakwenda unaona bei unachukua hutaki ile bei unakwenda kwingineko hakuna kupunguziwa bei ungoje xmas au new year au thanksgiving day utapata discount other wise chanja buga katafuta duka linginewe la bei unaiona inakufaa ya kichina na hakidumu.

    namuaminia sana mfanya biashara huyu tena yupo wapi nikija bongo nije nimpe hongera zakena bakshishi juuu.

    uncle michuzi tuambiye genge la jamaa liko wapi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...