Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Subhanallah! Tena dereva hana hata khofu mradi engine inafanya kazi, lina muonekano mithili ya zile 'Peugeot 404" za enzi hizo, kweli magari ya zamani ni chuma cha 'mjeremani' walojisemea wazee wetu, maana ingekuwa haya tulonayo leo hii, thubutu yake, angetaamaki engine inagaragara peke yake barabarani.

    Hata hivyo wanausalama au hao wanaohusika na ukaguzi wa vyombo ya bararabarani wako wapi au hakuna kiwango maalum cha ubora na kiwango maalum kinachoruhusu vyombo vya barabarani kuwepo barabarani? Au labda ndo kama hivyo mdau alivyojisemea hapo...Bora liende.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...