Mwaka huu 2015 ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa
madiwani, wabunge, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya
Muungano. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya nchi. Ratiba ya mchakato wa kuwapata
wagombea wa CCM kwa nafasi hizo haijatolewa bado.
Itakumbukwa Kamati Kuu iliyopita ya tarehe
13/01/2015, iliyoketi Kisiwandui Zanzibar ilipitisha ratiba ya shughuli za
kawaida za Chama kwa mwaka 2015 na kupanga kushughulikia ratiba ya mchakato wa
uteuzi wa wagombea wa CCM vikao vijavyo.
Pamoja na kutotolewa kwa ratiba hiyo, bado
zimekuwepo harakati nyingi za wanaotaka kuteuliwa na CCM kugombea nafasi
mbalimbali hasa ya urais wa Jamhuri ya Muungano. Harakati hizo baadhi halali,
nyingi haramu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...