Dj Jerry Kotto akipata picha na kamera ya Vijimambo ndani ya kiota cha Hisaje Park kilichopo Boko jijini Dar es Salaam kiota maarufu kwa nyimbo za zamani (old school) kila siku kuanzia Jumanne hadi Jumamosi na hakuna kiingilio.dj Jerry Kotto ni moja kati ya maDj wa miaka mingi hapa nchini.
Mitambo ya kisasa ndani ya kiota cha Hisaje Park Karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...