Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.
Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Home
Unlabelled
EWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANUARI 7,2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hongera zitto kaba ( sio kabwe tena) , endelea kuikaba serikali na vyombo vyake vyenye kuhujumu raia , bado hii bei inatakiwa ishuke zaidi kutokana na maelezo ya zitto kaba
ReplyDeleteMpaka Mh Zito atoe tamko na nyie ndio mnashusha bei ya mafuta leo wakati Dunia nzima imeshashusha bei kwenye mafuta siky nyiiiingi sana au niwaulize nyie mnaagiza mafuta toka Mars?
ReplyDeletehii si mara ya kwanza kwa EWURA kushusha bei ya mafuta, msipeane sifa za kijinga.
ReplyDeleteEWURA inalinda maslahi ya wafanya biashara badala ya kulinda maslahi ya Wananchi, ingekuwa nchi nyingine Uchunguzi ungefanyika ndani ya EWURA na watu wangewajibishwa maana haiwezekani Dunia nzima imeshusha Bei ya mafuta lakini Tanzania inakuja kushusha bei zake leo! Yaani hawa watu hawajari kabisa maamuzi yao na kuyatambua kwamba yanaathiri kabisa Uchumi wa Taifa kwa Ujumla pamoja wananchi...
ReplyDeleteHivi Sasa pesa iliyopungua kwenye bei ya mafuta Wananchi wanaweza kuipeleka katika maswala mengine ya Manunuzi na kuongeza Uchumi wa Taifa na kujiendeleza nafsi zao kwa njia mbalimbali na kupunguza ugumu wa maisha kwa ujumla (deflation)