
Siku zote kumbukumbu za babu zinachekesha saana na mwisho wake unaona kama unaboreka na kumbukumbu zake . Fuatilia hii kupitia mtandao .......
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Joti Sanduku la Babu au Kununua na iwe yako kupitia mtandao.
Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...