
MBAZI ni kijana aliyezaliwa kwenye familia ya kimasikini mkoani kilimanjaro, anakwenda mkoani kigoma huko anapendana na NYAMIZI binti mkimbizi wa kinyarwanda. Anaamua Kumtorosha na kurudi nae kijijini kwao, lakini Mambo yanapozidi kuwa magumu anaamua kwenda Dar Es Salaam Kutafuta maisha akiamuacha Nyamizi akiwa na mtoto mdogo. Akiwa Dar es Salaam anajikuta akiishia jela na kupoteza mawasiliano na familia yake kwa miaka mitatu anamaliza kifungo na kurudi kijijini na KITENDAWILI, mama yake na Mtoto wake walishafariki na mkewe anaishi na mwanaume mwingine na tayari nu majamizito.. Fuatilia hii kupitia mtandao .......
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania mtandaoni iitwayo KITENDAWILI au Kununua na iwe yako tembelea tovuti ya
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...