Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akihutubia maelfu ya waumini wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam katika kanisa la Mtakatibu Alban Jumapili.
Waziri Membe akishiriki kusali na waumini wa kanisa la Anglikana Tanzania
Waziri Membe akirekebisha hotuba yake kabla ya kuisoma katika maadhimisho ya miaka 50 ya Jubilee ya Anglikana Tanzania
![]() |
Sehemu ya umati wa waumini walioungana na Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh.Bernard Membe katika maadhimisho ya miaka 50 ya Jubilee ya Anglikana Tanzania |
At this juncture this is the kind of message the nation requires: powerful, relevant and timely. Thanks you Hon. Membe.
ReplyDelete