Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkazi wa Bagamoyo mjini Bwana Mohamed Amani anayeugua ugonjwa wa Kiharusi kutokana na maradhi ya moyo.Rais kikwete aliyekuwa katika mapunziko ya mwisho wa wiki nyumbani kwake mjini Bagamoyo alimwona mgonjwa huyo na kuamua kusimama kumjulia hali na kuahidi kumpatia msaada wa matibabu Picha na Freddy Maro
Home
Unlabelled
JK amjulia hali Mgonjwa Bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ameenda kupanga baraza jipya la mawaziri? Muhongo lazima abaki hakuchukua hela na kuweka kwenye account binafsi
ReplyDeleteYetu macho
ReplyDelete