Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akikutana na mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyochini ya Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar es Salaam leo
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisikiliza hoja za mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyochini ya Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro
Chifu kawa Waziri wa mambo ya inje
ReplyDeleteYeye ni Bwana Serikali. Hawa Mabalozi wanawakilisha nchi zao hapa Tanzania:-)
ReplyDelete