Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akisaini kitabu cha Mazungumzo na January Makamba kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba baada ya kumpatia kitabu cha "Mazungumzo na January Makamba" kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam.
Tunahitaji wazawa waandike zaidi kuhusu mambo yanayohusu nchi yetu, watu wake na matarajio yao.
ReplyDeleteHii ni hatua nzuri inayopashwa kuigwa na wengi. Namuunga mkono raisi mstaafu Mwinyi viongozi wa ngazi zote waandike kuhusu maeneo yao na harakati zao za kuleta maendeleo ya nchi ikiwemo changamoto mbalimbali na jinsi ya kuzikabili zitakazosaidia kizazi hiki na kijacho.
ReplyDeleteKila la heri.....ni wewe au kuna mwengine????
ReplyDeleteHapo Kitabu YALIYOMO, KALI. Huko N. Mandela aliko anasema J. Makamba ni kiongozi asilia aliyeelimika. Hongera.
ReplyDelete