R. I. P Willy Joseph Minja.
Ni miezi mitano toka umeiaga dunia hii ya tabu na mateso. Familia yako, watoto wako, mke wako, Baba Joseph Minja na mama yako Rose Swai, Kaka, Dada ndugu, Ma-rider (Tigo Police) jamaa na marafiki tunakukumbuka na tutakukumbuka Daima.
Raha ya milele upewe eeeWilly...
na Mwanga wa milele uangaziwe...
AMEN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...