Ofisa Habari Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi waslioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...