2003 LAND ROVER FREE LANDER: T373 bas



Make: Land Rover
Model: Freelander

Year: 2003


Price: TZS 7,000,000/-
Negotiable: Yes
Kilometers: 78,540
Fuel: Petrol

Colour: Blue


Transmission: Automatic
Four Wheel Drive: No
Vehicle Current Location: Dar es Salaam
Contacts: 0784587088 & 0712155221

Vehicle is in Good Condition, its Blue in Color...has a RAV 4 3S Engine with Gear Box


Gari lipo katika hali nzuri na linatembea, pia limefungwa injini ya RAV 4 3s Engine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dah! sasa hapa nanunua RAV4 au LandRover!? Hii engine ya RAV4 ni ya mwaka gani? Kwahiyo hizi Kilometa ni za bodi la LandRover au engine ya RAV4? Mweeh!

    ReplyDelete
  2. samahani kuuliza, Umesema Rav4 Engine? Rav4 ni Toyota kwa hiyo engine zinaingiliana?

    ni hayo tu,

    ReplyDelete
  3. Hii inanikanganya kidogo, road license yake inakuwa ni ya gari gani? Je utaweza kuikatia Bima ikiwa ina mchanganyiko wa Land rover na Rav4 ? Na kwa nini ilikuwa iwe hivyo kutoka Land rover na kuwa Rav4?
    nimeipenda body yake lakini hebu niondoe wasiwasi kwa hilo ili nisiingizwe mjini !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...