Katibu
wa Mbunge viti maalum, Tumaini Mwakatika akizungumza jambo katika
hafla ya utolewaji wa madawati 84 kwa shule za msingi Ivumwe na
Itiji jijini mbeya kwa niaba ya mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya,Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kushirikiana na Benki ya NMB.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB,
walimu pamoja na Katibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Ivumwe
Jijini Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi
madawati hayo. 

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...