Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la
Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya
Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood
Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye
Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya
Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na
Katibu wa CCM Kata Ya Mkundi tayari Kusikiliza Kero zinazowakabili
wakati wa Kata hiyo,ambapo walimwambia Wanakabiliwa na Kero Kubwa ya
Umeme,Maji na Barabara.
Aidha Mh Abood ametoa majibu Kuhusu Kero hizo na kusema kuwa Serikali imeiweka Kata hiyo Kwenye Bajeti ya Serikali ya Mwaka huu .Kuhusu Maji Mh Abood alitoa Shilingi Milioni 11 Kwa jili ya Kununua Vifaa vya Kuwezesha Kufikisha Maji katika eneo la Mgulu wa Ndege Kata ya Mkundi.Pia Alitoa Shilingi Milion 2 kwa ajili ya kuhakikisha barabara zote za Kata hiyo zinachongwa.

Mwenyekiti
wa Mtaa wa Mgulu wa Ndege Kata ya Mkundi Jimbo la Morogoro Mjini
Akisoma Risala yake Kwa Mbunge wa Jimbo Hilo Mh Aziz Abood.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...