Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. it was an excellent interview huyu mzee ni hazina kubwa ambayo tz ya leo inamuhitaji bado. i like his confidence, seriousness in what he believes or say and determination.
    Timothy

    ReplyDelete
  2. Hiki ni kichwa makini nimekubali ndo maana baba wa taifa-rip alikiona mapema...nilikua sijui vizuri hii issue ya privation viliongewa sana kuwa BM alivuruga lakini alivyojibu hapa ingawa ni kwa ufupi pasi na shaka nimemkubali kua kulikua hakuna ufujaji..,,,huyu mzee ni hazina na lulu haswa ya taifa,mwenyezi mungu azidi kukupa maisha marefu baba taifa bado linakuhitaji...ameen
    mdau wa Oxford,UK.

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kujua kwamba Mh Mkapa ni very Genius angalia hii video https://www.youtube.com/watch?v=zbGZaykJ5iU pale alipopewa nafasi ya kuongea.

    Mh Michuzi mbunge wetu wa 2015, tunaomba weka hii video https://www.youtube.com/watch?v=zbGZaykJ5iU kwenye globu yetu ya kimataifa.

    Asante.

    ReplyDelete
  4. We were very lucky to have him as our president. Is it possible to re-run for the office in 2015? or at least point a finger to the one?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...