Balozi wa Tanzania wa Kudumu Umoja wa Mataifa Geneva, Mhe. Modest Mero (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania; Dubai, alipomtembelea ofisini kwake Geneva.
Wote wawili walilitumikia Taifa kwa pamoja katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York.
Mjega ni yupi hapo na Mero yu waupande gani?
ReplyDeleteHivi vituo vina ushrikiano mkubwa kila mwaka Wakuu wanatembeleana na kutufahamisha
ReplyDelete