Askari wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya,Kijitonyama usiku huu.Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo.hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.Mpaka Globu ya Jamii inaondoka eneo la tukio,eneo kuwa la moyo huo lililiwa limeshazimwa.

Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje ya ghala hilo kama yanavyoonekana,hakuna alieweza kuokoa chochote.
Maafisa wa vikosi vya zimamoto wakijadiliana jambo mara baada ya kufanikiwa kuzima moto kwa asilia kubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunajenga majengo marefu, ya vito vya thamani kubwa, maduka ya biashara kubwa, je tumeweka tahadhari ya moto? Majengo makubwa huzimwa kwa helkopta, je tumezinunua hizo helkopta za kuzima moto? Serikali mjipange. Ukitaka kuvutia wawekezaji andaa mazingira mazuri ya usalama wa mali na raia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...