![]() |
Crew ya bendi yako Super Kamanyola yenye maskani yake Villa Park Kirumba jijini Mwanza. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Home
Unlabelled
MPANGO MZIMA WA RATIBA YA HARAKATI ZA VALENTINE NDANI YA VILLA PARK JIJINI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Super Kamanyola fanyeni hima mtoe video ya kazi zenu maana bendi yenu ni kati ya bendi chache anzania zinazodumisha na kufurahisha wadau wa muziki wa dansi a.k.a bongo dance.
ReplyDeleteKutengeneza video ni kazi ndogo tafuteni mdau wa wadau wanaofanya shooting ya video bora halafu mtupie ktk YouTube, sisi wadau wa muziki wa dansi tutawapa sapoti kubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Mdau
Kijana Mpenda Muziki wa dansi