 |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu) Profesa Mark Mwandosya (wa tano kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ntaba, Bi. Rebecca Hyera (wa nne kulia) kuhusu sehemu ya
Mradi wa Umwagiliaji maji wa Katela - Ntaba ambapo limejengwa ghala la mazao ya mpunga na
kakao.
Ujenzi wa ghala umetokana na upotevu wa mazao baada ya kukosekana
hifadhi.Utawasaidia pia wakulima kupata bei nzuri kwa kuamua wao wenyewe
wakati mzuri wa kuuza ziada ya mazao. Ghala hilo lililojengwa kwa nguvu ya wananchi lina uwezo wa kuhifadhi tani 60
za mazao.
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipita kwenye kivusha maji cha Mradi
wa
umwagiliaji Katela - Ntaba wakati akikagua Miradi ya
Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya
.jpg) |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipita maelezo ya Banio la mradi
wa umwagiliaji wa Katela-Ntaba.
wakati akikagua Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya katika picha
ya pamoja na watendaji,viongozi na wananchi baada ya kukagua ghala ya mazao ya
Mrafi waumwagiliaji wa Kasysbone-Kisegese.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...