Kanda Bongoman "Inde"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ya kitambo si haba, nakumbuka wakati huo ukipita baadhi ya sehemu mitaa yetu ya uswahilini, basi kulikuwa na wale wabunifu wa zile sanamu almaarufu kwa jina la 'Joyce Wowowo' ni hapo sasa wakuchezeshee wimbo huo ambao ndio ulikuwa favourite ya hao wachezeshaji hiyo sanamu, basi hapo 'Joyce Wowowo' umuone minenguo yake....lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...