Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leo
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress akizungumza kabla ya kutiliana saini na Nyalandu mkataba ya kukabidhiana vifaa hivyo. Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Egon Kochanke.
Hii ni habari njema, tuzidi kuombea mema juu ya swala hili.Maana kuna umuhimu mkubwa wakulinda rasilimali zetu kwa faida yetu na kikazi kijacho.
ReplyDeleteWaziri wa Utii hakutajwa kabisa hapo kwenye hii habari au picha
ReplyDeleteongera sana kwa merekani, kwa kazi njema
ReplyDelete