
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2,
2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
3 Januari, 2015
Hongera sana,ndugu Massaju.Cheo hiki umekistahili kwelikweli.WEWE NI JEMBE.
ReplyDeleteHongera bwana mzee. Kwa sura unaonekana kama mtu serious na kazi yako. Tafadhali simama imara na hudumia nchi yako kwa uaminifu na piga vita ufisadi.
ReplyDeleteMwanasheria mkuu wa serikali mpya
ReplyDeleteMwanasheria mkuu mpya wa serikali
Mwalimu wangu wa Kiswahili darasa la pili (Mrs Uledi) angalijua tofauti
Hongera sana AG Masaju.Endelea na Falsafa yako ya kuheshimu,kuamini na kuthamini viwango na uwezo wa kitaaluma wa mtu bila kujali umri au ngazi ya afisa husika.falsafa yako hiyo ndiyo iliyokufikisha hapo.
ReplyDeleteHuu msemo, "WEWE NI JEMBE" maana yake nini. Naomba kuelimishwa.
ReplyDelete