Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Hapa umeteleza kidogo ankal... George Masaju... Hilo la Mcheche ni lipi tena? Kumradhi
ReplyDeleteHongera mwanasheria mkuu, sasa uchape kazi. Halafu hiyo picha ya chini mbona Raisi kama anacheka huku anasaini makaratasi? Isije akakosea..
ReplyDeleteNa wewe Mwanasheria Mpya usije mwangusha Raisi Kikwete tena kama mtangulizi wako alivyofanya mwache JK amalize vizuri muda wake.
ReplyDelete