Home
Unlabelled
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebu tujitafakari tujiulize: bado tuko na mshikamano na upendo kama miaka ya nyuma!? Hili sio jambo la kuambiwa na kiongozi, ni sisi wenyewe katika nafsi zetu tujipime!
ReplyDeleteAnkal, naomba uwambie Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ku-upload video wakati habari ni moto moto. Asante.
ReplyDeletePoaching: My only concern here is that the sharp drop in the number of killed elephants (53.7% over the period 2012 to 2013 and 48% 2013 TO 2014) may itself be worrying. Could it be that these statistics suggest - it is now hard to find freely roaming elephants? Somebody needs to assure us that it is not the case as the rate of poaching over the last decade has been quite perplexing...
ReplyDeleteMimi nafikiri mshikamano kati ya wananchi wa kawaida bado up. Ila kwa hivi sasa wananchi wamepoteza imani na viongozi wa taifa. Wananci wamepoteza imani na viongozi wa serikali na pia wamepoteza imani na viongozi wa kisiasa ikiwa ni pamoja viongozi wa chama tawala na vyama vya upinzani.
ReplyDeleteWell said
DeleteKupata jibu sahihi angalia division iliyojengeka ndani ya chama tawala,ni more vivid than ever.Angalia utengano unaojengeka kati ya Bara na visiwani,sintofahamu kati ya wa kulima na wafugaji katika maeneo mengi nchini,tafakari hali ya udini iliyojengeka overtime ndio utajua position ambayo wanasiasa wametufikisha.
ReplyDeleteMgawanyiko uliopo mimi ninaona umefika hatua inayoonyesha taifa letu linasambaratika katika ngazi nyingi za msingi ya kitaifa. Msingi kwamba serikali haina dini umevunjika, udini uko wazi kwenye serikali yetu. Maadili ya viongozi wa taifa yameporomoka, sasa hivi kuna tabaka la watawala na watawaliwa, na wenye nyadhifa wamejiwekea mikakati ya kujilinda. Hata zile mila, heshima na desturi za uafrika ambazo ndio kama gundi ya utanzania wetu nazo zimeporomoka na
ReplyDeleteKuna mgawanyiko mkubwa hatujui tulikosimama. Hivi sasa tunapromote mila za kigeni na sioni juhudi za serikali za kuweka misingi ya kusimamia mila na heshima ya watanzania.