Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini |
Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya ambazo zilizokatwa na wanaodaiwa kuwa wezi waliofika katika kituo hicho na kufanya uharibifun |
Enginia Emmanuel Manirabona akiwa kati eneo la kipawa akionyesha kwa wandishi wa habari sehem mbalimbali za kituo cha kipawa |
wafanyakazi wa kituo cha kusafirishia na,Changome kupelekea umeme katika maeneo ya Changome ,Buguruni ,Tandika wakiwa kazini |
Enginia Emmanuel Manirabona afisa usafirishaji akitoka katika chumba cha kuhifadhia mitambo ya umeme iliyopo chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...