
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Borafya Silima wakati akiwasili katika viwanja vya Magogoni kwa Mabata kwa ajili ya kupokea matembezi ya vijana mshkamano na kuwahutubia.
Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Magogoni kwa Mabata wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa kuipongeza hotuba ya Rais Dkt.Shein aliyoitoa hivi karibuni.
Wadau.Wanahabari kutoka Unguja wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo.

Umati wa Vijana kutoka mikoa Mbalimbali ukiwa kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Magogoni kwa Mabata.
PICHA NA MICHUZI JR-UNGUJA ZANZIBAR.
PICHA NA MICHUZI JR-UNGUJA ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...