Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile).
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuchinja ng’ombe 300 kwa siku.
Shughuli za uchinjaji zikiendelea katika kiwanda cha SAAFI kilichopo
katika Wilaya ya Sumabwanga mkoani Rukwa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...