Waziri
wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick
Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha
Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la
Taifa (NDC), Mligi Mkucha.
Picha ya pamoja ya
Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Taarifa itolewe vizuri, amekuta hali gani huko. Kuna nini? Anatuambia nini kuhusu mchango wake katika uchumi. Haya ndo mambo tunayotaka kuyasikia.
ReplyDelete